Announcements


INVITATION TO PARTICIPATE IN
THE 6TH ARUSHA GEM FAIR [AGF]
AT THE MOUNT MERU HOTEL IN ARUSHA
FROM 3RD – 5TH MAY, 2017

THE EVENT IS JOINTLY ORGANISED BY THE GOVERNMENT OF TANZANIA AND THE MINERAL DEALERS ASSOCIATION [TAMIDA].

ALL DEALERS, BUYERS AND EXHIBITORS ARE REQUESTED TO TIMELY REGSITER/CONFIRM THEIR PARTICIPATION BY CONTACTING THE AGF SECRETARIAT AT info@arushagemshow.com

FOR DETAIL INFORMATION, PROCEDURES AND THE RELATED LOGISTICS, KINDLY VISIT THE EVENT.
WEBSITE: www.arushagemshow.com


Business Entry Visa:

Tanzania Embassies do issue visa for the Business. For more details please refer to the link given. "Visa"APPOINTMENT OF TOURISM MARKETING REPRESENTATIVE IN INDIA "Expression of Interest"Public appeal for participation in voting for Mt. Kilimanjaro, Serengeti and Ngorongoro

For more information, click on the link, Tanzania Tourism BoardAKAUNTI YA KILIMANJARO

Benki ya Amana imeatangaza kuazisha Akaunti maalum kwa ajili ya DIASPORA ijulikanayo kama Kilimanjaro Diaspora Account.

Diaspora watatakiwa ku-download Fomu kupitia Mtandao wa Benki hiyo http://www.amanabank.co.tz/kilimanjaro-diasporaacount/ kuzijaza na baadae kuzituma [DHL, FedEX, EMS] kwenda kwenye Benki hiyo Tanzania.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Maafisa wafuatao wa Benki hiyo:

1. Bw. Dassu Musa, Meneja Masoko: Landline : +255-22-2129007 [Mob. +255-786-687832]

2. Bw. Muhsin Muhammed, Mkuu wa Kitengo cha Uzalishaji na Sheria: Landline: +255-22-2129007 [Mob. +255-653-283636].

For more information, click on the link, AKAUNTI YA KILIMANJAROTaarifa ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa [NIDA] kuhusu usajili wa Tanzania waishio nje ya nchi [DIASPORA].

Mamlaka imemteua Bi. Rose Mdami [Mob. No: +255-713-412871] kuwa Afisa Dawati atakayeshughulikia masuala ya Diaspora ndani ya Malaka ya NIDA.

Dawati hili litatoa huduma kwa haraka [Fast Track] kwa DIASPORA katika Jengo la Magereza lililopo katika Barabara ya Kivukoni Mjini Dar es Salaam.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Bi. Mdami [Mob. No: +255-713-412871].

For more information, click on the link, Taarifa ya Mamlaka ya Vitambulisho vya TaifaWestadi Yaanza Kazi Rasmi

Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Taifa ( National Social Security Fund) umetangaza kuanza kazi rasmi kwa Mpango wa Ustawi wa Tanzania waishio ughaibuni (Welfare Scheme for Tanzanians in the Diaspora – WESTADI)   ambao ulizinduliwa Septemba mwaka 2011 huko  Dulles Virginia  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Marekani.

Kwa taarifa zaidi fungua kiungo hiki: National Social Security Fund


Image Gallery

DAR-ES-SALAAM

Find more about Weather in Dar Es Salaam, Dar Es Salaam, Tanzania

© Copyright Tanzania High Commission - New Delhi 2010-2014. [Site Map]